WLIVE MSIMU MPYA ON SET

 

hapo juu vipi?? joyce kiria

The big BOSS wa MUHIMBILI, mwanamke wa kwanza kupata hiyo nafasi kwa vigezo vyote, no viti maalum Dk Marina Njelekela kushoto, bloger no 1 tz kufanikiwa kiuchumi Shamim Mwasha, Nasra kutoka NBC…..

Dizaina anaeongoza kuvalisha au kusponsa viwalo vya ukweli, Amina Dizain….

Big Boss wa Muhimbili nafasi juu kabisa, top top top, Dk Marina Njelekela….

Powerfull lady in twn, Madame Ritha Paulsen….

Hao na wengine wapo ktk ufunguzi wa WLIVE msimu wa pili, usikose kuangalia ujio huu mpya na wa aina yake ndani ya EATV 22 nov 2011 j4 saa tatu usiku, marudio ni j5 saa nane mchana na j2 saa nane na nusu mchana….. WLIVE NI KWA KILA MWANAMKE

Advertisements

About WanawakeLIVE
Haki za Wanawake & Development (HAWA) is a non-profit organization with a focus on enhancing women empowerment, gender equality and equity in Tanzania. It is a vibrant women’s organization addressing the needs of all segments of the female population of Tanzania and East Africa,and attracting national and international support for women empowerment, gender equality, gender equity and women’s active participation and involvement in social,economic and political development in Tanzania and East Africa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: