Joyce kiria akiwakilisha WANAWAKE LIVE kwenye shughuli za kijamii

Joyce Kiria akituonyesha picha ya jirani yake marehemu dada Phoibe Mrisho alietangulia mbele za haki…..

Joyce Kiria bega kwa bega na wanawake wenzake na jirani zake Wakiandaa jungu la kupikia ubwabwa wa shughuli kabla ya mazishi….

Muongozaji( Mwanaharakati) wa kipindi cha Wanawake Live akiwa kwenye shughuli ya pamoja na wanawake wenzake ambao ni majirani wenzake kwenye msiba uliyotekea jirani kwake mapema wiki hii….

Kikundi cha kinamama na wanakwaya wenzake na marehemu wakimuaga mwenzao kwa staili ya kipekee kabla ya kumsindikiza kwenye nyumba yake ya milele…. (makaburini) RIP dada Phoibe

Joyce Kiria akiwa ktk msafara wakielekea makaburi ya mwananyamala kumzika jirani yake dada Phoibe Mrisho…

Advertisements

About WanawakeLIVE
Haki za Wanawake & Development (HAWA) is a non-profit organization with a focus on enhancing women empowerment, gender equality and equity in Tanzania. It is a vibrant women’s organization addressing the needs of all segments of the female population of Tanzania and East Africa,and attracting national and international support for women empowerment, gender equality, gender equity and women’s active participation and involvement in social,economic and political development in Tanzania and East Africa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: