Mtetezi wa wanawake aitembelea familia ya mama aliyekatwa kichwa Dar

Mwanaharakati wa kipindi cha Wanawake Live Joyce Kiria kushoto, akitoa salam za pole kwa mume wa Mama Neema au Naomi Kiula Mzee Fanuely Kiula, aliyefikwa na msiba mkubwa wa mke wake kipenzi, aliyepata ajali mapema wiki hii na kukatika kichwa huko ubungo riverside…. 

Joyce Kiria akiwa na Baraka Kiula ambae ni mtoto wa pili na wa mwisho kwa Mama Neema  Kiula aliyefariki ajalini….( Waandishi walipotosha kwa kutoa raarifa kwamba huyu mama ni mjamzito, ukweli ndo huo kwamba Baraka ndo mtoto wake wa mwisho na dada Naomi maarufu kwa jina la mama Neema hakuwa na MIMBA….

Mpambanaji wa kipindi cha Wanawake Live Joyce Kiria katikati akimfariji mtoto wa kwanza wa marehemu mama Neema, ( huyu ndo Neema ) ”Nashkuru sana dada Joyce Kiria kwa kuja kutufariji, Mungu akupe Moyo zaidi wa kuwafariji wanaoitaji faraja, pia uzidi kupigania haki za wanawake na Mungu atakufanya mshindi siku moja, usife moyo tupo pamoja nawe dada” hayo ni baadhi ya maneno ya Neema na rafiki yake Angel ambae walisoma shule moja, nae alikuwepo kumfariji…

Mtayarishaji wa kipindi cha WLive akiwa na ndugu wa marehemu mama Neema, kushoto ni Emmanuel Kiula, Eva, Joyce na Neema….

NG’O ya Haki za Wanawake Tz (HAWA) Inampongeza sana mwanaharakati huyu kwa hiki alichokifanya cha kwenda kutoa salamu za rambirambi kwa familia hii, pia kitendo hiki ni sehemu ya kipindi cha WLive msimu wa pili unaosema WANAWAKE LIVE NI KWA KILA MWANAMKE , Mungu ailaze pema roho ya marehemu Naomi Kiula… Amen

 

Advertisements

About WanawakeLIVE
Haki za Wanawake & Development (HAWA) is a non-profit organization with a focus on enhancing women empowerment, gender equality and equity in Tanzania. It is a vibrant women’s organization addressing the needs of all segments of the female population of Tanzania and East Africa,and attracting national and international support for women empowerment, gender equality, gender equity and women’s active participation and involvement in social,economic and political development in Tanzania and East Africa.

One Response to Mtetezi wa wanawake aitembelea familia ya mama aliyekatwa kichwa Dar

  1. aisha says:

    Hongera sana mwanaharakati wa kuwakomboa wanawake, kwa kwenda kuitembelea familia ya marehemu mama Neema kiukweli umewatia nguvu na moyo sana. nimependa hiyo siz.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: