Mazishi ya Naomi Kiula yafanyika Kinondoni Dar Tz

Huyu ndo marehemu dada Naomi kiula aliefariki dunia kwa ajali ya ubungo riverside wiki iliyopita, amezikwa j3 tar 28 nov 2011,  juhudi za kuaga mwili wa marehemu zilishindikana kutokana na mwili kusagika sana kwenye ajali, Mungu amlaze pema peponi Amen…..

hushoto (suti nyeusi) ni mume wa marehemu, shati ya pink ni mtoto wa pili na wa mwisho wa marehemu, alieshika picha ni ndugu wa marehemu…. Wakielekea kuweka taji kwenye kaburi la mpendwa wetu dada Naomi Kiula…

Ndugu jamaa na marafiki wakimpamba marehemu dada Naomi Kiula, Mungu ailaze mahala pema peponi Roho ya marehemu AMEN….

Advertisements

About WanawakeLIVE
Haki za Wanawake & Development (HAWA) is a non-profit organization with a focus on enhancing women empowerment, gender equality and equity in Tanzania. It is a vibrant women’s organization addressing the needs of all segments of the female population of Tanzania and East Africa,and attracting national and international support for women empowerment, gender equality, gender equity and women’s active participation and involvement in social,economic and political development in Tanzania and East Africa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: